Harmonize Ft. Rich Mavoko – Show Me Lyrics

*Harmonize*
Asa Mwenzako I feel so good me nikikuona,
Aah uomwendo unafanya kusudi na ulivyo shona,
Ati unakwenda au unarudi wakatakona,
Nyuma ka katuni za masudi ulivyo nona,
Eeih ivi unapenda wavifua ka roboti “ama sanam”
Au wazee wakununua mwaga noti “ka sallam”
Oooo o ooh Anitha , Macho kama unanita, Aaa a aa saa sita, Shape vella sindika, Aa aaah anita Macho kama unanita, Shape Vellah…..
*Chorus* Aah showme, showme ,showme, ‘”Unavyo dance”‘
Showme, Showme ,Showme, “‘Waonyeshe unavyo dance”‘ ×2

*MAVOKO*
Umenifinyanga kama dona,
Mmakonde na ndonya,
Kama mpira maradona, Kichuya kona,
Nawakisema namawenge wambie “werrasoni”
Wakiringisha peremende nitakugawia “koni”,
Chunga kipenzi majaribu, “‘mabaya saaana oooh”‘
Nawe ndo dokta wa kunitibu,
“Niwe salama oooh” Ooh baby anitaaa, “Macho kama unaniita”
Saa siita Kiuno kama yondo sista Aaah *(×2)*

*CHOROUS*
Aah showme, showme ,showme, ‘”Unavyo dance”‘
Showme, Showme ,Showme, “‘Waonyeshe unavyo dance”‘ *(×2)*

*Harmonize*
Asa Mombasa,nairobi, “Sakata base”
Kampala,kigali “Sakata base”
Zimbabwe kwa tobi “Sakata base”
Naija somali “Toto sakata base”

*mavoko*
Wanangu wa panya road “Sakata base”
Chaukucha kwa salali, “Sakata base”
Na unyamani , BOB “Sakata base”
Kizonga kwa natali “Toto sakata base”
Aaah aaaa aa A a aaah Unavyo dance Aaaaah aa aa aaa Aaaah a aaa
Waoneshe unavyo dance.

Show Me by Harmonize Ft. Rich Mavoko – Mp3 Download

You May Also Like

Download: African Music